Bila shaka alikula Tenda ya kuchoma nyama pale Ar Chuga.John ze baptist popote ulipo nyoosha mkono watu wakuone.Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Waulizwe chadema upande aliowananga inawezekana wamepita nae baada ya kushinda.....Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Ushahidi unao rudia kusoma uzi wako umeweka wazi nani wamepita naye!Au alikula pesa yenu kisha Lissu akashinda mkaamua kupita naye?
Huyu ni nani lakini?
Paskali muda wake wakulea wajukuu umefika,ilatuu bado mwenyewe hajajikubali.Mbatizaji na paskali manjaa hawana tofauti
na akamatweAtafutwe
Kafunga Ramadhani uzushi mwezi wa Ramadhani haukubaliki kawa imamu ghafla mwezi huuKada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Lord denningπππ ilikuwa ID gani hiyo
Alinidisapoint sana siku ya mkutano wa Lisu na press huyo jamaa.Mbatizaji na paskali manjaa hawana tofauti