Yuko wapi Johnthebaptist?

Ohoooooo!!!
 
Sina cha kuzuga hapa.. Tuhakikishieni usalama wake
Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
 
Haya tujibu sasa
 
Haya tujibu sasa
Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. kwa mujibu wa mshana jr
 
Hayo nimeandika Mimi kwenye mada kuu na kamwe siwezi kuyakana maandishi yangu... Unaruhusiwa kuyanakili na kunipa credit ukipenda lakini si kuyafanya yako.. Sijui kama unalijua hilo
 
alipata teuzi saahv yuko pakistan ambassador
 
Kaibiwa infinix yake 🤣🤣 (joke)
Nimemkumbuka sana huyu mwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…