Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Kilichomponza ni kuiga mambo ya nje wakati yeye yuko bongo ambako timu kubwa ni simba na yanga nazo ni kubwa kwa fitina tuBaada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015
Beki kisiki wa Mbeya city Juma Nyoso amepotea kabisa na sijapata kusikia ni wapi aliko anajishughulisha na nini huko zaidi ya soka
Hivi ile adhabu ndio ilikuwa angamizo lake yaani Nyoso hata jukwaani huwezi mkuta!
Uko wapi Nyoso, dawa yao Maguli, na John Boko?
Yupo maeneo ya kagera /manzese na wasela wenzakeBaada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015