Yuko wapi Kajumulo?

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,985
Kuna kijana maarufu sana enzi hizo aliwika miaka ya 90, kama sikosei alikuwa anajishughulisha na udhamini wa mpira wa miguu na pia alikuwa na timu yake, baadae alitimkia nchi za ulaya.

Naomba kujua alipo Kajumulo hivi sasa
 
sasa hivi " kama bado yupo hai atakuwa ni mzee "... namkumbuka huyo jamaa alivuma mnoo miaka hiyo alikuwa na rasta
 
Yupo Marekani ana asasi ya kupigania haki za mashoga, kipindi JK anaenda Marekani alikuwaga anataka kukutana naye JK anamkwepa.
Sasa sijui na yeye anafanya hiyo au anasaka maela
Mcheck hapa hii link yake ya fb soma mistari mitatu ya mwisho anasema anapigania haki za mashoga Alex Kajumulo
Ila bado ana academy ukipitia page yake ya fb ana vijana kibao
 
Ndio Wana undugu ni mdogo wake!!☆inasemekana hata zile pesa alizokuwaga anagawa hovyo zilikua za mama Tibaijuka..mama alivuna mapesa mengi sana kwenye kazi zake alizokua anafanya UN by then!
huyo mama atakuwa na pesa ndefu sana hadi kufa kwake ataziacha, ila hope kajumulo sasa atakuwa mtu mzima
 
Daah Enzi za Moro United, pia alikuwa na kampuni ya kuuza jezi zake na vifaa vya michezo, nasikia alifilisika akauza timu akasepa bongo
nafikiri atakuwa anaishi marekani hadi sasa
 
Kajumulo yuko us anamiliki soccer academy na hivi sasa inauza wachezaji kwenye ligi za ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…