Mujwahuzia
Senior Member
- Nov 17, 2011
- 137
- 31
Wana jamiiforums wenzangu naomba mnisaidie kupata jibu, nataka kujua Kijana wetu maalufu kwa Jina la KAYUMBA YOTE MAISHA na mwenzake EMMY wapo wapi watoto ambao walikuwa wanaeleza mwenendo wa maisha ya mtoto wa shule anayetoka katika familia ya kimaskini katika tangazo la Haki Elimu Je ? wanaendelea na shule na wanafanya vizuri Darasani au hata ile taasisi ya Haki Elimu nayo imewatelekeza watoto hao nisaidieni kupata majibu wenzangu. mujwahuzia