fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Kama kuna mtu anajua huyu yuko wapi atujuze, maana simsikii na hata taifa stars hachaguliwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Under 20?Yupo Genk U20 na anakiwasha sana hata last week kapiga goli 2
Shangaa hapo sasa.Under 20?
Yes tena kwa wazungu ,si passport inaonesha hivyoUnder 20?
Mara nyingi inategemea na kocha wa Genk ya wakubwa anataka nini. Kocha aliyempandisha timu ya wakubwa alitimuliwa, kocha mpya akamshusha.Under 20?