Yuko wapi Laura George???!!.

Yuko wapi Laura George???!!.

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
413
Kwa yeyote anayefahamu aliko aliyekuwa mtangazaji wa ITV siku za nyuma kwa jina la Laura George anijuze tu. Kiufupi nilivutiwa sana na utangazaji wake hasa taarifa za habari..
 
kaulize ITV au nenda Vodacom. wengi walikimbilia huko
 
wewe mtu una bunduki then unamuulizia mtu mh? ukienda kummua? sikwambii.
 
Kwa yeyote anayefahamu aliko aliyekuwa mtangazaji wa ITV siku za nyuma kwa jina la Laura George anijuze tu. Kiufupi nilivutiwa sana na utangazaji wake hasa taarifa za habari..

Huyo "mtoto" nami nilikuwa nampenda kichizi. Alikuwa anachanganya midomo kama nini vile. Ebu wenye taarifa nae watumwagie hapa.
 
Yuko vodacom...marketing dept alitusaidia sama wakati fulani tuliomba support yao pale kwenye concert moja
 
Back
Top Bottom