Hamna kitu kama hicho, ni watu wawili tofauti.Kumbe Lara 1 ndo yule kulee!!!
LUKOSI MZEE WA NYUMBU MAKONTEINA YAKE YANATOZWA KODI NINILukosi yupo Facebook huko,Lizaboni kaishiwa bundle na Mussa Allan yupo kwenye mgomo wa kutolipwa buku 7
wakati ule alikuwa anapitisha matakataka yake bila ya kulipa kodi sasa kabanwa kaacha kabisa kuongea.Naongelea yule nyumbu mwenzetu!Kuna mmoja hapo huwa namuona fb anauza matakataka ya ulaya kwa mnada.
S.Jabir! take it from me!Wrong, Lara 1 siyo Da Mange. Amini hivyo.
Haaa haaa haaaa chilisosiiiii afande mstaafu ndugu Lukosi mbeba box ulaya.alikuwa na ndoto za kugombea jimbo la Iringa mjini !
Mkuu bana etiHamna kitu, Ritz wa JF choka mbaya tu hana uhusiano wowote na Sultani wa Msoga.
Kukosekana kwake humu ni kasi ya awamu ya tano imelala nao mbele hata pesa ya bundle la chuo ni shida, hata kile kibibi Faiza Foxy nacho hali tete.
Umebaki wewe, ukiukwaa unapotea jukwaani
Jamaa yako zomba alipotelea wapi, bado nakumbuka thread yenu ya malumbano ya hoja...Awamu ya tano imelala nao mbele, JF hawagawi ugali.
Iga kushinda JF ulale na njaa wakati wenzako wananenepa tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa weeHuoni dogo Joseverest alivyoingia kwa fujo. Wadau tunamuangalia tu. Shemeji yake alivyomtimua tu, dogo haonekani kabisa hata page ya tano
Ina maana Lara1 ni dada yetu aliepo mambele?Insta yake ina followers zaidi ya 1.4m na sasa kaanzia App,aje kufanya nini humu
Hahahahahahahaaaaaa. Nimeanza kupigania chama wakati Juliana akiwa CHADEMAElizabeth Boniface aka Lisbon ndio aliyepewa cheo juzi naibu waziri wa mwakyembe
So msiseme wako wapi wako kwenye majukumu ya bwana wao
Vipi umewahi leo mkutano wa UWT?Hahahahahahahaaaaaa. Nimeanza kupigania chama wakati Juliana akiwa CHADEMA