Yuko wapi Lubunga Biyaombe?

Somoche

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
6,795
Reaction score
9,143
Wakuu naomba kuuliza nani mwenye Taarifa za Mtangazaji wa BBC anaitwa Lubunga Biyaombe? jamaa alikua anatangaza kutokea kule D.R.C..
 
Mkuu hata mimi kwa muda mrefu sijamsikia Bwana Biyahombe, alikuwa anaongea kiswahili safi sana akiripoti kutoka Kinshasa.
 
Kwa kweli namisi kile kiswahili cha Lubunga sijui jamaa wamemtimua ama la mwenye taarifa tafadhali!!!
 
dah mkuu umenikumbusha huyu jamaa,mahiri kwelikweli
 
Mkuu hata mimi kwa muda mrefu sijamsikia Bwana Biyahombe, alikuwa anaongea kiswahili safi sana akiripoti kutoka Kinshasa.
na kuna mwingine alikuwa anaitwa mike rareng' kutoka Kampala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…