Yuko wapi mama Anjela na kichanga Chake

Fukua tu makaburi,tena kaburi lenyewe la albino,,ila umesahau issue ya passport ? Anzia hpo utapata jibu
 
Mmmmh kwakweli sijui chochote kwani ana kichanga?
 
kwani kuna nini mbona mwamtisha !!?
 
Hivi ni kweli kile kichanga ni damu yetu?

Natamani nikione km tunafanana hasa kichwa[emoji1]
Wote tuna taaarifa ambazo hazina ukweli tusubiri kapicha. .......katakua kapacha katatu pamoja na kale tunakokaonaga kwwnye mtandao
 
Mama Anjela tupo nae hapa ubalozi kwa baba yake mwingine.

Kule mgodini doto ata take care.
 
hebu mwacheni apumzike mama wa watu sio busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…