Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Jamani eh, kuna huyu mama wa nguvu na lemba lake anaitwa Mama Mdogo siku hizi simuoni barazani, kuna mwenye habari zake? Nazimiss kweli busara zake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani eh, kuna huyu mama wa nguvu na lemba lake anaitwa Mama Mdogo siku hizi simuoni barazani, kuna mwenye habari zake? Nazimiss kweli busara zake!
Ambassador, asante kwa kunikumbuka. Nipo nimerejea maeneo ambako naweza kusoma na kuchangia kwenye mitandao. Kwa miezi kadhaa nilikuwa kwenye mihangaiko ya maisha huko mikoani na nchi jirani. Si unajua tena shillingi imeota matairi na ni lazima uikimbize huku na kule.