Elections 2010 Yuko Wapi mama Salma?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Jamani wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa za Mrs. Mkwere?

Naona taarifa zake kwa media zimekuwa adimu kama za Kim Jong Il wa Korea Kaskazini.

Au Kampeni za Chini Kwa Chini?
 
Maskini weee umenikumbusha kweli, sijui yuko wapi, alidhani siasa ni ile ya kufundisha darasa la kwanza enzi zileee, pole zake huko aliko
 
amekerwa na signal za chadema hata hivyo nadhani jana walipata heart attack baada ya kushuhudia mdahalo wa DK SLAA
 
Jamani wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa za Mrs. Mkwere?

Naona taarifa zake kwa media zimekuwa adimu kama za Kim Jong Il wa Korea Kaskazini.

Au Kampeni za Chini Kwa Chini?

Atakuwa anatfakari sana, alichukizwa sana kuoneshwa vidole viwili yaani sign ya Chadema akasema amedharauliwa ila labda anabadilisha style.
 
Labda alionyeshwa alama ya vidole vya CHADEMA huku kidole kimoja (cha karibu na dole gumba) kikiwa kimekunjwa kidogo kwa hiyo akaona hayo ni maji mengi hawezi kuyaoga! (just joking)
 
Jamani wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa za Mrs. Mkwere?

Naona taarifa zake kwa media zimekuwa adimu kama za Kim Jong Il wa Korea Kaskazini.

Au Kampeni za Chini Kwa Chini?

no...shuka kwa shuka
 
she is suffering from hyperemesis gravidurum as a result of bed to bed campaign
 
Kampaini ni za shuka kwa shuka si ajabu kakutana na shuka lenye nyuzi joto za kuburudisha...shuka kwa shuka mzee au mimi ndio sielewi maana!
 
Labda kafunikwa na shuka kubwa kwenye kampeni zake za shuka kwa shuka!
 
Kaenda kwa sheikh yahaya /sangoma ili muungwana asianguke tena tarehe 30 Oct pale jangwani
 
Jamani wana JF, kuna yoyote mwenye taarifa za Mrs. Mkwere?

Naona taarifa zake kwa media zimekuwa adimu kama za Kim Jong Il wa Korea Kaskazini.

Au Kampeni za Chini Kwa Chini?
No zitakuwa za kyupi kwa kyupi!!
 
Yupo JK ila havumi. Pamoja na kuwa uraisi ni jambo la kifamilia, mambo ni magumu kuliko maelezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…