yuko wapi martin Kolikoli

yuko wapi martin Kolikoli

1975

Senior Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
131
Reaction score
18
Jamani nilitaka kuuliza hivi Martin Kolikoli yule kijana aliyekuwa kwenye NBA draft yuko wapi,alienda kucheza NCCA au bado yupo Dar es salaam na anachezea kilabu gani?
 
Hakutangazwa sana.
Wengi hawamjui,
ila anayejua aliko tunaomba atusaidie kujua maendeleo ya mtanzania mwenzetu huyu
 
Jamani nilitaka kuuliza hivi Martin Kolikoli yule kijana aliyekuwa kwenye NBA draft yuko wapi,alienda kucheza NCCA au bado yupo Dar es salaam na anachezea kilabu gani?

Thanks Mkuu... hata mimi hili linanisumbua sana!! Where is the dude?
 
Back
Top Bottom