Yuko wapi Mbiki Msumi?

Yupo kwao anaangalia kuku na bata wanavyopandana bandani kwao.........
 
Muda ni hakimu, enzi hizo za kimobiteli, mademu wakali mjini wanamegwa na watoto wa mjini kwa kuhongwa chaser mayai ma Mark II hizi hizi za milioni 1.5 leo.
Starehe, starehe kweli kwa macheni enzi hizo. viwanja vikali Sinza enzi hizo. Mtu mzima Hashim Lundenga yupo hai?
Enzi hizo ARV lazima uwe na hela na connection, leo tunawapa Nguruwe ARV. Nimekumbuka mbali mhenga mie😁
 
Bashe ana wake wangapu?
Si amemwoa mbunge wa Segerea pia?
Unaoa, unamla, unamtwanga talaka, unatafuta mwingine. So nafasi zako za kuoa unakua hauzijazi.
Kila unayemtaka anajiona anakuja kuwa mke wa pili na wewe kazi yako inakua ni kuwagongea ndani ya ndoa na kuwapiga talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…