Yuko wapi mchezaji wa kitanzania ADAM NDITI aliyekipiga Chelsea? Je alipotezwa na Shaffih Dauda?

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,182
Hivi Adam Nditi yuko wapi siku hizi? Huyu jamaa kuna kipindi alivuma kama MTANZANIA ANAYECHEZEA CHELSEA B. Na tuliambiwa anaenda pandishwa timu A. Kuna tetesi alikuwa karibu sana na Shaffih Dauda kama mshauri wake, Je ni kweli alikataa kuchezea Stars akifuata ushauri wa Shaffih Dauda ili kuitwa England na kupata uraia?
Wenzake kina Berahino wa Burundi walishtuka huo mtego wakaukwepa mteho wa lusubiri kuitwa England ya wakubwa maana amgejivurugia kuwa ahujaa wa mchi yake orijino. Leo hii Berahino ni shujaa wa Burundi baada ya kuisaidia nchi yake ya burumdi kuingia AFCON.
Leo nae angekuwa shujaa huku kwetu ila naona masikio yalizidi ububwa kichwa ndio maana akapotea. Hata nikimgoogle, google haijui vizuri yuko wapi.





 
vipi yule sanga aliepelekwa uturuki juzijuzi, alipigwa sana promo humu.
 
Yan abaki uingereza ili aitwe hii timu ya taifa ambayo kuna sterling,sancho,odoi,delle,c.willson,rashford,lingard n.k????? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…