AlaaaaMbona ndo wewe umejianzishia thread tu.
Hujamuona tu mpaka leo?Yupo wapi huyu kijana jamani
Pitia kule uone leo wamemchana hahaaha tafta uzi wa pongezi utachekaMhu.....tunaye kila siku kwa majina mengine
Kumbe jamaa ni mnyarwanda?Mnyarwanda ambae alikuwa mshabiki wa ccm lakini akaja kugeuka adui Mkubwa!
Yah,upande wa mamaKumbe jamaa ni mnyarwanda?
mnajua kuchimbuaYah,upande wa mama
Hakuna mtu mpumbavu JF kama yule. Shenzi kabisa. Akafie mbele hukoAnajifanya mbabe sana mjinga yule, kuna uzi alinipiga mkwara, nikanywea ili yaishe ila akajitapa sana!!