Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

Jamaa alikuwa na maduka kila kona ya mji, alikuwa na biashara kila kona alikuwa tajiri anayemiliki marange na maV8 alikuwa akitembelea maduka yake na Range.

Jamaa alikuwa na pesa sio poa, ulikuwa ukisikia jina lake basi unajua unazungumzia mtu maarufu na mfanyabiashara mkubwa.

Jamaa yuko wapi sikuhizi? Kipindi kile cha Makonda ni miongoni mwa waloitwa Central kwa tuhuma za Unga!

Yuko wapi? Kaishia wapi?
 

Hussein Miraj Farouk ndio jina lake kamili by then akiishi Mwananyamala koma koma, alifunga kampuni kama tu ambavyo Sumry alifunga kampuni na kuhamia kwenye kilimo.

Kumbuka, biashara ya nguo ilikuwa zuga tu, huenda kuna biashara zaidi na ndio utaona vijana wengi wa Kino walilzimika kufunga kazi zao.
 
Anafanya large scale ?
 
Maana wengine wanasema alifilisika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…