Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Yupo wapi huyu mtu,alikuwaga ni repoter wa itv nina mda cjamsikia,mwenye kujua alipo atujuze.
24 Agosti 2017: Mkuu wa idara ya habari ITV Steven Chuwa (Kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Ineke Bussemaker alipofika katika ofisi hizo leo kujionea namna ITV/Radio One zinavyofanya kazi zake kwa weledi.
Mkurugenzi huyo ameridhishwa na kazi kubwa ya kuhabarisha Umma inayofanywa na vituo vyetu baada ya kuona uwekezaji uliopo.