Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Nipo unasemaje
Mhariri wa Habari ITV hivyo hana nafasi tena ya kuripoti kwani cheo chake ni kikubwa. PIa kwa muda mrefu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.
Kumbe. Pole sana kwake bwana Chuwa.Mhariri wa Habari ITV hivyo hana nafasi tena ya kuripoti kwani cheo chake ni kikubwa. PIa kwa muda mrefu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.
Wanabodi huyu jamaa yuko wapi siku hivi au amestaafishwa tayari??
Sijawahi kuwa na no yake ya simu..ila nilikuwa namkodoleaga macho itvKwake. Amekubadilishia namba ya simu nini?
Kawa HR niniNilisikia ana cheo kikubwa hapo hivi sasa ndio maana hasikiki akiripoti.
LabdaKawa HR nini
Jamaa aliluwa kifaa sana mbele ya kameraLabda
Kweli.....sio kama George Maratuuuu wa Mara.Jamaa aliluwa kifaa sana mbele ya kamera
Jamaa aliluwa kifaa sana mbele ya kamera
Aah wapi!!!..Ana rafudhi ya kichaga chaga utadhani anatangaza machame TV
Bora mwenye lafudhi ya Kichagga kuliko wewe kyasaka usiyejua kuandika Kiswahili fasaha