Yuko Wapi Mr Paul?

Yuko Wapi Mr Paul?

3ZOV

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
6,259
Reaction score
7,015
Huyu jamaa alitamba sana enzi 2007 kushuka chini mfano kibao cha Zuwena

Je, yuko wapi sasa hivi?
 
Jamaa Mara ya mwisho nilikutana naye UDSM mwaka 2005 Kulikuwa na weeding pale ku a kaukumbi Fulani hivi,

Alikuwa na demu mmoja wa kiziungu kutoka Australia, nahisi keshaolewa huko kurudi tena mapema sidhani.
 
Hapa watoto wa viduku stop kwenye uzi huu.
Miaka hiyo 20’s
Wagosi wakaya
Mabaga fresh
Kali p
Saigon
Sister p
Mez b
Jafari
Gangwe mob
Maiki t
Maiki d
Hard bruster
Dandu
Balozi

[emoji3064] hapo kipindi hicho channel tena ndio mbabe wa kupiga nyimbo za bongo flaver.

Manguo ya nike,fubu,phatfam,dada na n.k
 
Jamaa Mara ya mwisho nilikutana naye UDSM mwaka 2005 Kulikuwa na weeding pale ku a kaukumbi Fulani hivi,

Alikuwa na demu mmoja wa kiziungu kutoka Australia, nahisi keshaolewa huko kurudi tena mapema sidhani.
Mr paul, solo thang na frank mtao wote hawa wameolewa na mijimama ya kizungu huko ulaya, bado husein machozi tu
 
Mr paul, solo thang na frank mtao wote hawa wameolewa na mijimama ya kizungu huko ulaya, bado husein machozi tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu machozi nae?
 
Back
Top Bottom