samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Unataka picha zake au video?! Nitakupa vyote.
Anza na picha;
Kisha video;
Picha zaidi? Zicheki hapa ==> Corazon - Kenyan Socialite
Asante..
Nimewahi Kumsikia mwenye picha aweke basi tuone uumbaji
Kamwangalie instagram anaitwa lilythegenie
Hivi ni raia wa wapi huyo corazon?
Mkenya
Nilihisi hivyo maana niliwahi kumuona kwenye moja ya mtandao wa kenya. Hivi shughuli yake hasa ni nini?