papaa musofe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 842
- 1,475
[emoji3]Sawa
mzee wa uvinza
Hata Buff G alikua na familia ya ukweli bro wao mbunge kitambo akina GembeInategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana hela
Umenielewa mkuu nilichomaanisha mwanzoni? Nilisema wengi wanaishi kwa ndugu na ndiyo kama hivyo kwa bros na uncles sio kwa wazazi! Kwa wakati ule walionekana wa kishua ila ukifanya tasmini sasa walikua ni wakazi tu wa nyumba za msajili upanga wengi wao!Hata Buff G alikua na familia ya ukweli bro wao mbunge kitambo akina Gembe
kama nikikutambua utanipa zawadi gani?sababu nakuwa nimezama deep kwa uchunguzi wangu.sema sitakutaja kwa jina isipokuwa mazingira yaliyokuzunguka.Aaaaaah wapi, hunijui mkuu
kama nikikutambua utanipa zawadi gani?sababu nakuwa nimezama deep kwa uchunguzi wangu.sema sitakutaja kwa jina isipokuwa mazingira yaliyokuzunguka.
Oky hiyo soda utakunywa wewe..First,U're grand Ma was a teacher,May her soul rest in peace.Your Aunt name start with M.And your nick name is Kibosongo..Au nakufananisha?Nitakupa ofa ya soda kwa Saidi mpare
Nitakupa ofa ya soda kwa Saidi mpare
Haaaaaaa haaaa haloooooo, yamoto Moto hiyoOky hiyo soda utakunywa wewe..First,U're grand Ma was a teacher,May her soul rest in peace.Your Aunt name start with M.And your nick name is Kibosongo..Au nakufananisha?
Oky hiyo soda utakunywa wewe..First,U're grand Ma was a teacher,May her soul rest in peace.Your Aunt name start with M.And your nick name is Kibosongo..Au nakufananisha?
Haaaaaaa haaaa haloooooo, yamoto Moto hiyo
Jamaa kazingua. O Ten hawezi kuwa Rapper bora kwa vigezo vyovyote viwavyo!Dah kweli masikio yanatofautiana! Nyandindi ni rapa bora? Ile inaitwa katuni hana tofauti na akina Kalama
Yeah. Huu ndio ukweli.Baba yake alikuwa nazo.Alikuwa mfanyabiashara, Mjenzi.
Kaka hapo Kingston umenikumbusha mbali sana. Ningetaja members wa Kingston ungeshanijua!!
!
Oten Philipo Nyandindi huyu sisi maskani yetu Ganga Senyunyu alikuwa anajulikana kwa Jina la [HASHTAG]#SINAHELA[/HASHTAG] pande za Forest Forest Madizini Kila Kala na Kingston.
Na pale MOTCO alikuja kwa miguu kutokea maskani kwao Kilakala!mwaka juzi nilimuona uwanjan kule kigurunyembe chuo cha walimu daah yupo mitungi vby,anayumba tu yaaan