Yuko wapi muigizaji Shaz Sardy?

Yuko wapi muigizaji Shaz Sardy?

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Hivi huyu dada aliyekuwa muigizaji mwenza Steven Kanumba atakuwa Yuko wapi siku hizi? Mbona Kama hayuko kwenye Bongo Movie ckuiz.

Binafsi nilikuwa namkubali Sana kipindi anaigiza na Kanumba has a kwenye movie ya The Shock.Humo huyu binti alikuwa fundi wa kuigiza Hadi nikatokea kumpenda.

Kwa hiyo yeyote anayezifahamu habari zake tafadhali Naomba anieleweshe.

Shaz_Sadry.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hata Mimi mkuu, nilikuwa nakatamani Sana haka katoto
Dah aisee umenikumbusha mbali sana ,hala kabinti kalikuwa nasauti nzuri aisee , nilikavutia hisia sana mpaka nikawa nauwambia moyo koma mjini kuna vya watu [emoji23]
 
Ngoja waje wanaofahamu watatoa majibu ya uhakika.
 
Back
Top Bottom