Mwagane yeya mchezaji wa hakuna kulala (wachukuzi fc uyole), kijiweni fc timu iliyokuwa na historia kubwa pale mby na baadae mbeya city fc.
Ikumbukwe kuwa jamaa alichezea timu ya mkoa wa kigoma kipindi anasomea ualimu kule na baada timu ya mkoa wa mbeya aka mapinduzi staar
Jamaa anatoka katika familia ya soka kwani hata mdogo wake alikuwa vizuri kuliko kaka ake Yeya.
Kwa kweli inasikitisha sana jamaa kuachwa mby city tetesi zinasema kuwa kulikuwa na mgogoro wa kimaslahi kati yake na kocha mwambusi kiujumla mwambusi aliuza timu na lengo lake kuiteremsha kabisa.
Kwa sasa jamaa yupo st augustine mbeya cumpus kwa mara ya mwisho nilimuona kiwanjani gemu mby cty vs mgambo.
mwambusi umezoofisha mby city fc utakuja kulipwa na mungu.