Yuko wapi mwanadada Jenipher Mgendi?

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game.

Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole sana....kitambo sana asee

Yuko wapi dada Jenipher Mgendi mwenye kujua tafadhali.

Uzi tayari.

 
Yupo,naona toka alifiwa na mume wake amekua kimya sana
 

Beautiful lady
 
Ila kana kisauti kweye niaje niaje bwanaaka atakua anainjoi kiredio mno
 
Mpigie:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…