Yuko wapi mwenda kwa waganga Gentamycine kuelekea dar derby

Gentamycine huyu mkimbizi hana chochote anachokijua zaidi ya utapeli wa Forex tu.
 
Mnamtafuta siyo?subirini aje muone. [emoji16][emoji16]
Huyo ndugu, huwa naupenda sana uandishi wake. Hata akiandika nisichokipenda, huwa siachi kusoma mpaka mwisho. Huwa nakutana na maneno mengi ambayo ni mapya kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…