Yuko wapi mzee Magoma? Tulimshauri kuwa asicheze na Yanga

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Yanga ina uhusiano wa karibu na wa kihistoria na CCM (ASP+TANU), Kucheza na Yanga ni kucheza na CCM na kucheza na CCM ni kucheza na serikali na kucheza na serikali ni kucheza na Moto wa makaa ya mawe.

Kwahiyo kucheza na Yanga ni kucheza na moto wa makaa ya Mawe. Pole sana mzee.

Soma Pia: Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi
 
Huu upepo hua unakuja na kutoweka, mbona hata wazee wa simba nao walianza kupiga kelele
 
Kwanza nianze na hesabu za MNYUMBULISHO
Lambalamba fc + Watengeneza Asali fc = Walambishwa Asali Fc

Sasa nirudi kwenye mada, We endelea kujidanganya, kuipenda Yanga ni mapenzi binafsi ya mtu haina uhusiano na CCM.

Kwa taarifa yako wapo Makada na Viongozi kadha wa kadha kwenye CCM ni Simba Sc lialia na jamii inafaham hilo na hawajafukuzwa.
Kwanini hawajafukuzwa, kwasababu kwenye katiba ya CCM hakuna mahali imetajwa iliujiunge na CCM ni lazima uwe shabiki au mwanachama wa Yanga.
Yaani kifupi hakuna mahali kwenye katiba ya CCM imetajwa Yanga kwa namna yoyowe ile.

Kwahiyo mzee Magoma kutulia/kutulizwa usiisingizie CCM au Serikali Tukufu ya JMT Over.

Nimetumia nguvu kubwa kukueleza wakati Haji Manara alishamaliza kua "Pale Yanga wenye....."
 
Yanga ina uhusiano wa karibu na wa kihistoria na CCM (ASP+TANU), Kucheza na Yanga ni kucheza na CCM na kucheza na CCM ni kucheza na serikali na kucheza na serikali ni kucheza na Moto wa makaa ya mawe.

Kwahiyo kucheza na Yanga ni kucheza na moto wa makaa ya Mawe. Pole sana mzee.

Soma Pia: Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi
Kwani hujaona kinachoendelea jangwani? Au aongeze dozi?
 
Kwanza nianze na hesabu za MNYUMBULISHO
Lambalamba fc + Watengeneza Asali fc = Walambishwa Asali Fc

Sasa nirudi kwenye mada, We endelea kujidanganya, kuipenda Yanga ni mapenzi binafsi ya mtu haina uhusiano na CCM.

Kwa taarifa yako wapo Makada na Viongozi kadha wa kadha kwenye CCM ni Simba Sc lialia na jamii inafaham hilo na hawajafukuzwa.
Kwanini hawajafukuzwa, kwasababu kwenye katiba ya CCM hakuna mahali imetajwa iliujiunge na CCM ni lazima uwe shabiki au mwanachama wa Yanga.
Yaani kifupi hakuna mahali kwenye katiba ya CCM imetajwa Yanga kwa namna yoyowe ile.

Kwahiyo mzee Magoma kutulia/kutulizwa usiisingizie CCM au Serikali Tukufu ya JMT Over.

Nimetumia nguvu kubwa kukueleza wakati Haji Manara alishamaliza kua "Pale Yanga wenye....."
Mbona unaenda mbali waziri mkuu simba lia lia,waziri wa michezo na naibu wake wote ni simba lia lia.
 
Mzee magoma kashaweka wazi juzi kaongea kasema kama yanga wanataka warudishe utawala wao basi wamtafute tofauti na hapo vipigo vitaendelea kuwahusu .
 
Kwanza nianze na hesabu za MNYUMBULISHO
Lambalamba fc + Watengeneza Asali fc = Walambishwa Asali Fc

Sasa nirudi kwenye mada, We endelea kujidanganya, kuipenda Yanga ni mapenzi binafsi ya mtu haina uhusiano na CCM.

Kwa taarifa yako wapo Makada na Viongozi kadha wa kadha kwenye CCM ni Simba Sc lialia na jamii inafaham hilo na hawajafukuzwa.
Kwanini hawajafukuzwa, kwasababu kwenye katiba ya CCM hakuna mahali imetajwa iliujiunge na CCM ni lazima uwe shabiki au mwanachama wa Yanga.
Yaani kifupi hakuna mahali kwenye katiba ya CCM imetajwa Yanga kwa namna yoyowe ile.

Kwahiyo mzee Magoma kutulia/kutulizwa usiisingizie CCM au Serikali Tukufu ya JMT Over.

Nimetumia nguvu kubwa kukueleza wakati Haji Manara alishamaliza kua "Pale Yanga wenye....."
Mashangae huyo...hana hoja PM ni Simba kindakindaki....Spika simba na wengine kibao au hao ni CHAUMA?
 
Nyerere Yanga
Mwinyi Yanga
Mkapa Yanga
Kikwete Yanga
Magufuli Simba
Samia Yanga
 
Mashangae huyo...hana hoja PM ni Simba kindakindaki....Spika simba na wengine kibao au hao ni CHAUMA?
Nyerere Yanga
Mwinyi Yanga
Mkapa Yanga
Kikwete Yanga
Magufuli Simba
Samia Yanga
 
Mbona unaenda mbali waziri mkuu simba lia lia,waziri wa michezo na naibu wake wote ni simba lia lia.
Nyerere Yanga
Mwinyi Yanga (huyu aliwatukana Simba kabisa)
Mkapa Yanga
Kikwete Yanga
Magufuli Simba
Samia Yanga
 
Nyerere Yanga
Mwinyi Yanga
Mkapa Yanga
Kikwete Yanga
Magufuli Simba
Samia Yanga
Umehama kwenye Chama sasa unaangalia mapenzi ya mtu binafsi na unadhani ndio msimamo wa Chama acha kukaza fuvu tumia hata akili kidogo kufikiri.
 
Back
Top Bottom