Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Kwani hujaona kinachoendelea jangwani? Au aongeze dozi?Yanga ina uhusiano wa karibu na wa kihistoria na CCM (ASP+TANU), Kucheza na Yanga ni kucheza na CCM na kucheza na CCM ni kucheza na serikali na kucheza na serikali ni kucheza na Moto wa makaa ya mawe.
Kwahiyo kucheza na Yanga ni kucheza na moto wa makaa ya Mawe. Pole sana mzee.
Soma Pia: Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi
Mbona unaenda mbali waziri mkuu simba lia lia,waziri wa michezo na naibu wake wote ni simba lia lia.Kwanza nianze na hesabu za MNYUMBULISHO
Lambalamba fc + Watengeneza Asali fc = Walambishwa Asali Fc
Sasa nirudi kwenye mada, We endelea kujidanganya, kuipenda Yanga ni mapenzi binafsi ya mtu haina uhusiano na CCM.
Kwa taarifa yako wapo Makada na Viongozi kadha wa kadha kwenye CCM ni Simba Sc lialia na jamii inafaham hilo na hawajafukuzwa.
Kwanini hawajafukuzwa, kwasababu kwenye katiba ya CCM hakuna mahali imetajwa iliujiunge na CCM ni lazima uwe shabiki au mwanachama wa Yanga.
Yaani kifupi hakuna mahali kwenye katiba ya CCM imetajwa Yanga kwa namna yoyowe ile.
Kwahiyo mzee Magoma kutulia/kutulizwa usiisingizie CCM au Serikali Tukufu ya JMT Over.
Nimetumia nguvu kubwa kukueleza wakati Haji Manara alishamaliza kua "Pale Yanga wenye....."
Fadlu anapigwa mechi mbili zinazokuja utawasikia wazee wa simba wakiibuka tena.Huu upepo hua unakuja na kutoweka, mbona hata wazee wa simba nao walianza kupiga kelele
Mashangae huyo...hana hoja PM ni Simba kindakindaki....Spika simba na wengine kibao au hao ni CHAUMA?Kwanza nianze na hesabu za MNYUMBULISHO
Lambalamba fc + Watengeneza Asali fc = Walambishwa Asali Fc
Sasa nirudi kwenye mada, We endelea kujidanganya, kuipenda Yanga ni mapenzi binafsi ya mtu haina uhusiano na CCM.
Kwa taarifa yako wapo Makada na Viongozi kadha wa kadha kwenye CCM ni Simba Sc lialia na jamii inafaham hilo na hawajafukuzwa.
Kwanini hawajafukuzwa, kwasababu kwenye katiba ya CCM hakuna mahali imetajwa iliujiunge na CCM ni lazima uwe shabiki au mwanachama wa Yanga.
Yaani kifupi hakuna mahali kwenye katiba ya CCM imetajwa Yanga kwa namna yoyowe ile.
Kwahiyo mzee Magoma kutulia/kutulizwa usiisingizie CCM au Serikali Tukufu ya JMT Over.
Nimetumia nguvu kubwa kukueleza wakati Haji Manara alishamaliza kua "Pale Yanga wenye....."
Kinahusiana vipi na anacho pitia?Kwani hujaona kinachoendelea jangwani? Au aongeze dozi?
Nyerere YangaKwanza nianze na hesabu za MNYUMBULISHO
Lambalamba fc + Watengeneza Asali fc = Walambishwa Asali Fc
Sasa nirudi kwenye mada, We endelea kujidanganya, kuipenda Yanga ni mapenzi binafsi ya mtu haina uhusiano na CCM.
Kwa taarifa yako wapo Makada na Viongozi kadha wa kadha kwenye CCM ni Simba Sc lialia na jamii inafaham hilo na hawajafukuzwa.
Kwanini hawajafukuzwa, kwasababu kwenye katiba ya CCM hakuna mahali imetajwa iliujiunge na CCM ni lazima uwe shabiki au mwanachama wa Yanga.
Yaani kifupi hakuna mahali kwenye katiba ya CCM imetajwa Yanga kwa namna yoyowe ile.
Kwahiyo mzee Magoma kutulia/kutulizwa usiisingizie CCM au Serikali Tukufu ya JMT Over.
Nimetumia nguvu kubwa kukueleza wakati Haji Manara alishamaliza kua "Pale Yanga wenye....."
Nyerere YangaMashangae huyo...hana hoja PM ni Simba kindakindaki....Spika simba na wengine kibao au hao ni CHAUMA?
Nyerere YangaMbona unaenda mbali waziri mkuu simba lia lia,waziri wa michezo na naibu wake wote ni simba lia lia.
Hana hoja huyo mleta uziMbona unaenda mbali waziri mkuu simba lia lia,waziri wa michezo na naibu wake wote ni simba lia lia.
Wavivu wa kufikiri wote kule utopoloniMashangae huyo...hana hoja PM ni Simba kindakindaki....Spika simba na wengine kibao au hao ni CHAUMA?
Umehama kwenye Chama sasa unaangalia mapenzi ya mtu binafsi na unadhani ndio msimamo wa Chama acha kukaza fuvu tumia hata akili kidogo kufikiri.Nyerere Yanga
Mwinyi Yanga
Mkapa Yanga
Kikwete Yanga
Magufuli Simba
Samia Yanga
Rais ni taasisi ya Umma.Umehama kwenye Chama sasa unaangalia mapenzi ya mtu binafsi na unadhani ndio msimamo wa Chama acha kukaza fuvu tumia hata akili kidogo kufikiri.
Jamaniiii eeeeh tukimbie jamaniii Shekhe Yahaya kafufuka hukuuuu.Fadlu anapigwa mechi mbili zinazokuja utawasikia wazee wa simba wakiibuka tena.
Wanaomfahamu wanasema huyo wa mwisho nae ni SimbaNyerere Yanga
Mwinyi Yanga
Mkapa Yanga
Kikwete Yanga
Magufuli Simba
Samia Yanga