.....ni upotezaji muda kukamata wala jani ...hana kazi ya kufanya..jani ni kama gongo tu ,ni viamcho vya asili tumekuwa tukivitumia miaka nenda rudi bila kuona madhambi kama ya vijana wa leo....jani kule iringa ni mboga...na mikoa mingine wazee huvuta na kiko wakichanganya na tumbaku..tatizo la jani ni pale unapolila bila kunuia ...yaani ni hatari sana kama jobless anakamata jani...lakini kama unanuia shamba,kukesha ukisoma,au kwenye mazingira magumu ie vitani...huwa poa..
jani ni tafauti sana na pukutisho la jamii ya leo COCAINE..hii ni KIFO...anayevuta hii hata kama ni mkulima atalegea,kama ni mwanafunzi atakuwa lost,na kama ni mfanyabiashara ..atafilisika kabisa...hili ndio tatizo la kupambana nalo sana ..wenyewe wanasema unga ni shetani la kihindi...bora huyu mukandara akazuia lisiwaingie wasomi wetu!!!!
kuhusu REDET ...nadhani anangojea mwaka 2009 ...atakuja na kura nyingine za maoni kusema kuwa jk mwaka 2010 atashinda kwa asilimia 75%...ili kuhalalisha wizi wa kura kwa ushindi wa asilimia 75%^ mwaka 2010!!!!