Yuko wapi Mzee wetu Agrey Mwanri?

Pesanyingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2023
Posts
1,157
Reaction score
1,983
Amani iwe kwenu.

Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika.

Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
 
Yaani "Mwandri" nilifikiri umelikosea bahati mbaya huku kwenye heading kumbe sio bahati mbaya maana umelirudia hadi huku kwenye content[emoji2]
 
Makosa tumeumbiwa wanadamu.
Mimi ni typing error sababu ya key board

"h" na "j", "t" na "y" zimekaribiana ni rahisi kuteleza na kugusa herufi iliyokaribu.

neno " bahati" nimeliandika vizuri pale mwanzo, ila lingine ndio nimeteleza.

Yeye neno "Mwandri" sio bahati mbaya maana hapo ni lazima kutokana na matamshi yake ndio akaandika hivyo
 
Takataka likua, chawa la kutupwa. Eti Mungu amshukuru magufuli (au hakusema yeye?). All those were stupid human beings ever on earth!
 
Tangu aseme Mungu anatakiwa amshukuru Magufuli sitaki hata kumsikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…