Yupo JF anakusoma.Wakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Hiyo ni "name calling".Ila na wewe Samia kisa cha kuwatumbua hao jamaa ni nini?
Hata mm huwa naamini ni mama samia ,nlipata bahati kuongea na mama kipindi ana shamba la mchele kubwa bado hajawa mkubwa ni anazile tabia za kizenji wanajifanya wastaarabu wa kauli ila kwenye matendo anaweza kukunyonga.unahitaji phd kudeal na wazenji ni hawaelewekiIla na wewe Samia kisa cha kuwatumbua hao jamaa ni nini?
Kinachowapa nguvu ni madaraka yaliyojengwa kwa misingi ya baba zao. sasa madaraka hana na kama alivyosema Lisu, hawa wanatembelea nyota za baba zao na hawana nhguvu ya kujijenga wenyewe. Atapotea milele huyo. sasa na ubunge ukiota mbawa amekwisha na atakufa kwa kihoroWakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Nimemuona juzi The The Don Pub Arusha anakunywa K vant bila kuchanganya na majiWakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Yupo anatumbua maisha kwa mapesa aliyojilimbikizia !Wakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Arusha iko baridi kali !π€Nimemuona juzi The The Don Pub Arusha anakunywa K vant bila kuchanganya na maji
Duh!Haogopi kuchubuka koo?Anyway,Mola amfanyie wepesi na aache kisirani.Nimemuona juzi The The Don Pub Arusha anakunywa K vant bila kuchanganya na maji
Duu, kazi kweli kweli,Vipi unataka akakulawiti au vipi mkuu πππ