Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
His disappearance can only mean one thing.... We might never see him again...!View attachment 3660971
Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe.
Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni nani wako nyuma ya umbea kwa mama kama vile Bashite na Madelu wasijue nao waweza kuishia kama Maalim Seif.
Je, kwanini Nchimbi hakukabidhi ofisi kwa Ndejembi?
Jumbe aliitwa Dodoma na kufukuzwa.
Kwanini Nchimbi amefukuzwa in absentia?
Yuko wapi?
Kwanini amekuwa kimya hivyo?
Yu hai au marehemu?
Yuko huru au korokoroni?
Yuko nchini au ughaibuni na ni wapi nchini au nchi gani ughaibuni?
Je makosa yake ni yapi na adhabu zake ni zipi kikatia?
Je, barua ya kujiuzulu aliandika au aliandikiwa na kwanini?
Kunani kinafichwa kama hakuna namna na mizengwe na usanii?
Nani anamdganya nani na ili iweje kati ya watawala, watawaliwa, hata Nchimbi mwenyewe?
Je, Nchimbi angependa ajitokeze ila amezuiliwa au amejiuzuia?
Je, kuna machezo tumechezewa ili akiibuka aonewe huruma na awe rais ajaye?
Jumbe alifukuzwa kwa sababu ya kutaka mabadiliko ya muundo wa muungaono sawa na Nchimbi kuunga mkono madai ya katiba mpya inayotaka kuwepo muundo mpya wa muunagnao.
Tusaidiane kujua kinachoendelea.
subirini hy tarehe 04/septTISS wanafahamu alipo.
Tarehe 4 Septemba hakuna jipya, ni formalism tu. Mtu ashawekwa mtu kati tangu siku ya kwanza, simu hazipatikani, utangoja sana hiyo tarehe 4 mkuu.subirini hy tarehe 04/sept
labda wamemtuliza mpk hiyo tarehe kama alivyosema?Tarehe 4 Septemba hakuna jipya, ni formalism tu. Mtu ashawekwa mtu kati tangu siku ya kwanza, simu hazipatikani, utangoja sana hiyo tarehe 4 mkuu.
Hiyo tarehe 4 Septemba ilikuwa wishful thinking ya Nchimbi kwenye barua yake tu. Mzee mzima alizidiwa akili, chama kumfuta uanachama haraka kabla ya hiyo tarehe ilikuwa kwa ajili ya kumnyang'anya kinga na madaraka.labda wamemtuliza mpk hiyo tarehe kama alivyosema?
dah kwahy tutulie tu mpk hapo itapotangazwaHiyo tarehe 4 Septemba ilikuwa wishful thinking ya Nchimbi kwenye barua yake tu. Mzee mzima alizidiwa akili, chama kumfuta uanachama haraka kabla ya hiyo tarehe ilikuwa kwa ajili ya kumnyang'anya kinga na madaraka.
Na bunge lishapitisha Makamu mpya mkuu, hakuna cha kusubiri tarehe 4 wala nini, the system cleared him out mapema sana.
Kutulia sawa, lakini kusubiri itangazwe ni ngumu. This is high level politics, mambo kama haya huwa hayatangazwi kwenye TV wala kwenye magazeti ya serikali. Ukweli ushaonekana kwenye vitendo, kiti kimeshachukuliwa na Ndejembi, mzee mzima yupo chini ya containment tayari. Mchezo ushaisha Mzee.dah kwahy tutulie tu mpk hapo itapotangazwa
kuna matangazo mawiliKutulia sawa, lakini kusubiri itangazwe ni ngumu. This is high level politics, mambo kama haya huwa hayatangazwi kwenye TV wala kwenye magazeti ya serikali. Ukweli ushaonekana kwenye vitendo, kiti kimeshachukuliwa na Ndejembi, mzee mzima yupo chini ya containment tayari. Mchezo ushaisha Mzee.
Uko sahihi kabisa, na hizo ndio awamu zenyewe za hii muvi.kuna matangazo mawili
1. kutangaziwa hayupo tena
2,. kumuona kisutu na kimeo kizito
hizo taarifa nikuanzia tarehe hiyo sasaUko sahihi kabisa, na hizo ndio awamu zenyewe za hii muvi.
Acha tusubiri Mkuu!hizo taarifa nikuanzia tarehe hiyo sasa
Kweli kabisa dkt Mshana. Ccm hawawezi mruhusu jamaa kufungua kinywa maana wamejifunza kwa komredi Pole pole.His disappearance can only mean one thing.... We might never see him again...!
Kumbuka Kuna mengi yalimtokea kabla ya kufukuzwa na mengine yameendelea kutokea.. Kumruhusu afunue kinywa litakuwa janga moja kubwa sana
Soma hii
Ilivyo ngumu kumlinda mateka! | JamiiForums Tanzania https://share.google/9Q1gyiIhszGgLEHPL
Ndejembi mbona kama amesha kalia ofisi?subirini hy tarehe 04/sept