Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
nisamehe mkuu sikujua kama yameishaMkuu mbona mchokozi hivyoo si yameshaisha?
Nipm namba zake nilizipotezaHahaha sijui yupo wapi
Wahuni sio watu wazuri...ila mdada yule atakua tu labda anaubize..au unaonaje?
Hahaha mkuu. Kapeace yupo tu anakula matokeee uko kwaoAisee
Umemficha wapi kapeace?
Miss her muchHahaha mkuu. Kapeace yupo tu anakula matokeee uko kwao
Unazengua mkuu, nausikute hapo upo naye mnakula tu ubuyuMiss her much
Mama Sabrina kumbe we ndo Mirinda shoo? Yale yale ya Bujibuji na Grace. Ningekaa kidogo jana ungenichamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usidanganye watu.....
Yupo Us bado nna rafiki yangu anaongea Sana!
Usijifanye kumficha....
Ooow!!!Msalimie Deogratius A. B. I
Wabillah tawfiq.....
Nimepoteza mawasiliano kabisaUnazengua mkuu, nausikute hapo upo naye mnakula tu ubuyu
Daaahh inabidi uyatafute sasa ,nitamwambia akutafute ..kwan humu JF humuoni?Nimepoteza mawasiliano kabisa
Mama Sabrina kumbe we ndo Mirinda shoo? Yale yale ya Bujibuji na Grace. Ningekaa kidogo jana ungenichamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]