Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Usinipangie matumizi
Nawe tafuta kazi ya kufanya achana na mimi, si unasema sijui utanifanya nini nasubiria Mbona nikufurahishe
Wewe hapa umekosea namba onea wengine uliozoea kuonea

Na utakufa vibaya

Kusoma na kuelewa huwezi!

Nimekupangia nini wewe?

Nitakufa vibaya? Really?? We shall see hahahaaaa
 
Hehehehehehe..

Hivi kumbe Dina ndiye Mama Sabrina? Kwanini mnachukiana hivo? Nyie si mlikuwa wapenzi humu mnatuandikia mashahiri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Who is next on the list..!! JF haiishi vituko...
 
He! Kwa hiyo na wewe ndio nyani ngabu aka baba sabrina? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ndo Nyani Ngabu nini?!!!
 
Huuuuuuuuhuuuu!

Dinazarde kuwa mama Sabrina nishawahi mwambia ila sikujua kuwa ndo mirinda tena!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…