Bora we mkweli...jf fix sanaaNauza samaki na mboga mboga sijiekti tajiri Mimi wakati sina
Owkey...
Eti ni kweli una mtoto mkubwa kama Dina, ila umemficha?
Kwao wapi sasa? Mwanza au USA hapo?Kwao shoga sofa la USA BABY
Kwao wapi sasa? Mwanza au USA hapo?
Mbona sofa bayaa hivoo?
Haaahaaa...mkuu huwaga mi sikoseiUmekosea kabisa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] UCIA umebuma kwangu.
Umeona eeh?Wengine wanazalishwa matoto kibao bila ndoa
Nionyeshe G basi?Jioni upite pale nikupe wawili nipo kirumba
HaaaahaaaaSiku hiyo uniitee nishuhudie mi hata kuchinja mwenyewe naweza
Kwenye umbea humkosiii[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wit wewe ni kiboko naona unachochea kuni tuu
Heeee ....wasifute bana!Mods futa hii topic,having said that,i hv enjoyed the show...😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Basi bana![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hanikoseagii
Sasa ukweli ni upi?Hilo nilikuwa sijui. Ndo nimejua leo.
Hahahaaaa nimejua mengi mno leo kunihusu mimi.
Mimi siwezi kuwa na mtoto mkubwa hivyo ambaye naye ana mtoto!
How old am I? 65???
Mnachekesha kweli nyie watu.
Hayupo hata mmoja ukitaka hadi maiti walionyamaza waongee mguse Dina hata kofi tuHaaahaaa ....we demu wewe!
Imebaki kufatwa hapo kirumba na kuzibuliwa mingumi tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwetu ni Mwanza tena?
Hilo nalo jipya!
Hahahaaaaa daaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namuona wity ngoja nae yamfike tutawasha petrol kabisa ahah
Mmmh acha kunisingizia!Kwenye umbea humkosiii[emoji16]
Wachaa weeHayupo hata mmoja ukitaka hadi maiti walionyamaza waongee mguse Dina hata kofi tu
Kazi kurusha magari ya mtandaoni tu wanaume wa jf banaBora we mkweli...jf fix sanaa