Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
nyie watu bhana...

wewe Dina unasema wanaume wa JF nini?nitakudunda ngumi
Sio wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila wapo mashauziii mengiii kumbe wana kende tuuu!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Namnukuu maana kaenda kufuturu "Mnatuwekea magari ya mitandaoni mnajifanya yenu"
sasa tufanyeje sasa kama hatuna? tukiwaambia hatuna hata kutupa like hamtupi tena.

kutuqoute ndiyo kbisa... si bora tuyadownload kisha tuyacrop...

ila na nyie mbona mnadanganya mna chura? achana na gari maana najua unalo tena harrier.
 
Sio wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila wapo mashauziii mengiii kumbe wana kende tuuu!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
walai nyie tutawalaani.... hizo zilizoishia na nde ndiyo nini?
 
sasa tufanyeje sasa kama hatuna? tukiwaambia hatuna hata kutupa like hamtupi tena.

kutuqoute ndiyo kbisa... si bora tuyadownload kisha tuyacrop...

ila na nyie mbona mnadanganya mna chura? achana na gari maana najua unalo tena harrier.
Haaahaaa....we jamaa banaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…