Mjibu hapa nyani ,mbona yy kakuuliza swali hapahapa?
Hamna cha ban bana ww![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikipigwa ban nyieeee!!!ntatumia I'd zenuu ujue !!!!
Umeme hamna kwetu jamani transfoma imelipukaShuu yuko wapi???
Ila uliweka picha za Dina?na ukatumia Jina la ukoo wa Dina kufungua I'd jf?Sikupigwa ban kwa ajili hiyo. Huo nao ni uongo. Ni uzushi.
Acheni kuaminishana uzushi.
No no no Nkya, hujanisoma, ninamaanisha kuwa alilokusudia yeye amelifikisha bila kujali uhalisia wake.Kafanikiwa nini sasa?
Manake hakuna cha kweli hapo hata kimoja.
Vyote uzushi mtupu!
Au huo uzushi ndo mafanikio?
If anything aliyefanikiwa ni mimi and I know why.....
Nije lini kufuturu?
WoyooooooKeshooo!!!
Numb umefufuka tena?
Nyani wapi rafiki
PM naja kakaaNina sababu zangu kufanya hivyo....kumwambia aje PM.
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe looh!Hamna cha ban bana ww!
Wakupigwa ban walikuwa hii mtu mbili, si unaona bado zinadunda kwenye uzi wao?
Hata mimi najua mwandiko wakeNingeshamtambua. Huwa habadilliki style ya kupost
Mh
Kapigwa banNyani wapi rafiki
Muone vileee!!!umeniudhiiii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Umeme hamna kwetu jamani transfoma imelipuka
Missed youNyani wapi rafiki
Hamia hukuUmeme hamna kwetu jamani transfoma imelipuka
Acha mbwembweWoyoooooo
Don unipitie tutaenda wote
We mbona huwaga muwazi....unaficha nini huko pm?Nina sababu zangu kufanya hivyo....kumwambia aje PM.
Sio ww nimeudhi wengi sana jamani hakuna umeme na tunalala na giza letu nije kulala kwako naogopa kwangu na gizaMuone vileee!!!umeniudhiiii[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]