Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Ila uliweka picha za Dina?na ukatumia Jina la ukoo wa Dina kufungua I'd jf?
Why?!!!my brother(am sorry nakukubali sana hapa jf)let me call u this...nashukuru Leo nakuuliza hapa!
Motherfuck...er .....whaaaaaat?[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
We mbona huwaga muwazi....unaficha nini huko pm?

Yaan jus kujibu why uliweka avatar ya dina kwenye ID yako unataka ujibie pm!

Khaaa! Umeniangusha asee
Another questions
Why?!!!!!
Alitumia jina la mzazi wa Dina kufungua I'd yake jf...!?????
Alishawahi kutuma picha za nifah humu jf!?!!

What do u think

NN namkubali sana hata Mimi ameniangusha mnoo!!
Nashukuru nimepata nafasi kumuuliza leo(sisi wengine)tunamfatilia haswaa zile busara zake
 
Sio ww nimeudhi wengi sana jamani hakuna umeme na tunalala na giza letu nije kulala kwako naogopa kwangu na giza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo best ila utalala sebuleni!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…