Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
g
bro hii ni chitchat na je kama yote haya wana fake kwasabb humu ni chitchat? @moderators msifunge uzi huu

na niwe muwazi tu kwa yale yakiyo jadiliwa humu watu wametoa sumu zao na pengine kuepusha hata madhara ya kujiua/nyonga sasa ukifungwa wakatolee wapi sumu zao?

nakuhakikishia kua ID unazoziona na majina ya kuvutia kwenye huu uzi mengi yamesha umizwa na jamaa na wapo hapa kutoa kinyongo chao sema hasajataka kujipambanua tu kama mwenzao Dina.

ni hayo tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lala tyyuuu
Usilale shost.... Huu uzi tuhakikishe umefungwa!

Best yangu RRONDO hajisikii vizuri, anaonekana kama yy alifanya hichi kitu ili watu wajeruhiane! Kwa upande wangu mi nilikuwa natania sasa sijajua kwa SHAMMA!

Kasononeka sana asee! Nami sipendi kumfanya mtu ajisikie vibaya kwa sababu yangu

Cc. SHAMMA, Mzigua90
 
Naona yamerejuvinate upyaaa hayaa!!!looh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…