O T, Old timer Kitenge, jamaa last time alikuwa kwenye crew ya utengenezaji wa kipindi cha MKASI, Sasa basi mtafute Josh Mulunga pale TVE, nadhani atakusaidia kujua alipoHabarini wakuu,naomba kuuliza hivi huyu jamaa O.T wa kitenge siku hizi yuko wapi?Nilikuwa namkubali sana enzi hizo EATV na kipindi cha JUKE BOX baadaye akahamia TBC.Nashauri wadau mlioko humu mnaomiliki vituo vya tv mtafuteni huyu jamaa muanzishe vipindi vya oldies,yaan mm napenda sana nyimbo za zamani