Yuko wapi Ramadhan Ally Kihiyo?

Kwa mfano mtu kama "Profesa Maji Marefu" yeye siyo "kihiyo" kwa kuwa yeye hajiiti Profesa kwa lengo la kudanganya bali anajiita Profesa kwa lengo la kujikweza!!


Na kubwa ni kuwa Maji Marefu ni Profesa na sayansi ambayo siyo rasmi na hatuwezi kumkubalia wala kumkatalia. Yawezekana Elimu aliyokuwa nayo kwenye black science ni ya kiwango cha uprofesa. Who knows.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…