Captain Phillip
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 894
- 538
Alikuwa Barclays Bank kwa miaka kadhaa amehamia Ernst and Young ,yuko poa sana!ameokoka haimbi tena nyimbo zile labda atatoka na gospel!
sure nishakumbuka kama sikosei alikula shaba..... hivi ndio yeye aliyeibiwa pete alipokuja Bongo?
Namuongelea renee demu wa mr cheeks,alidedi...alieibiwa pete bongo ni cheeks mwenyewe,ila aliepigwa shaba ni ndugu yake by the name Freaky Tah
umenikumbusha huu msongi. ngoja niikasikilize na take a hike.Nilidhania Renee wa Lost Boys!
Ndio wewe nin?
Wala,nimemkumbuka tu!Ndio wewe nin?
Muacheni shangazi yangu amtumikie mungu kwani kwani maisha ya ulimwengu huu yanapita .. Ni bora kumpokea yesu ili akubadirishe maisha.Huyo tunapiga naye mzigo NMB kwa sasa na anahudumu kama Pastor kwenye haya makanisa ya Ki-Nigeria Tegeta.
Mpokee bwana ili akubadilishe maisha...Huyo tunapiga naye mzigo NMB kwa sasa na anahudumu kama Pastor kwenye haya makanisa ya Ki-Nigeria Tegeta.
Ndugu yako anatumia jina gani IG?Ukimpokea jesus kwa moyo mmoja bas maisha yako yatabadirika kuliko utakavotegemea ' yaliopita yatabaki kuwa xtory hapa tulipo ndo wakati muafaka wa kuchukua maamuzi yene busara.
Sent using Jamii Forums mobile app