Yupo marikan kwa dada yake nowJana nlkwa nikicheki movie moja ya kanumba FAMILY TEARS basi humo nikamuona Tena Richard benzouidenhout..ambae alikwa mshindi wa big br 2006..
Huyu mwamba amepotea Sana. Wadau hv Yuko Wap huyu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa TZ tunakosea wapi? Mwisho,Idrisa,Richard,Hasheem???Anaishi Canada na mkewe
Mwaka juzi nilimwona SHANT TOWN, moshi akiwa na mke wakeJana nlkwa nikicheki movie moja ya kanumba FAMILY TEARS basi humo nikamuona Tena Richard benzouidenhout..ambae alikwa mshindi wa big br 2006..
Huyu mwamba amepotea Sana. Wadau hv Yuko Wap huyu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Celebrities forum ulitegemea wazungumziwe paka..??Asubuhi hii mkuu kuliko uwaze namna ya kutafuta pesa,unatafuta watu?
Mwache aende Canada, bongo Bashite angekua anamfuata na vijinotisi vya kuchangia juhudi kila leo.Wa TZ tunakosea wapi? Mwisho,Idrisa,Richard,Hasheem???
Unajua kuwajibu waropokaji..wengine kazi tumefanya uckuCelebrities forum ulitegemea wazungumziwe paka..??