Vingi vizungumziwavyo humu vyapatkana Google..kwa akili yako ya asbh Kil mmoja Yuko Instagram?Anaishi Canada kwa sasa pia usituchoshe uki google unampata kwenye insta utamfuatilia mwenyewe kivyako
huku ni kwa wazazi wake..! Ila sasa ni mcanadaMwaka juzi nilimwona SHANT TOWN, moshi akiwa na mke wake
Sifa, mitungi na mbuuWa TZ tunakosea wapi? Mwisho,Idrisa,Richard,Hasheem???
Kwa tabia zako za kupenda kuchakua chakua habari za mastaa insta inakufaa sana aiseeVingi vizungumziwavyo humu vyapatkana Google..kwa akili yako ya asbh Kil mmoja Yuko Instagram?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gumu n la asili ya wap maana adi pumzi inakata.Hilo jina la baba wa richard linatamkwaje jamani usicheke wengi hawajui msaada tafadhali
Hv naye ana asili ya wamangi?Mwache aende Canada, bongo Bashite angekua anamfuata na vijinotisi vya kuchangia juhudi kila leo.
Ni 0.5 ya mzungu na mzaramuHv naye ana asili ya wamangi?
Yupo ubeberùni. Mkewe ni beberu nini?Anaishi Canada na mkewe
Yaa mkewe slikuja Tanzania kama expatriateYupo ubeberùni. Mkewe ni beberu nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwache aende Canada, bongo Bashite angekua anamfuata na vijinotisi vya kuchangia juhudi kila leo.
Km Mimi aseeeh!!kwanza hata nikiambiwa kuna laki linanishindaHilo jina lao la baba yao sijawahi lisoma mpaka mwisho
Waliandike kiswahili hapaHilo jina la baba wa richard linatamkwaje jamani usicheke wengi hawajui msaada tafadhali
😂😂😂yaani
angeuliza kuwa pesa anapataje huyo jamaa?Celebrities forum ulitegemea wazungumziwe paka..??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]chibhokooo!Yupo busy kusuka mbenjuo
Dutch: The Netherlands (Holland).