Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Ni kitambo sasa sijamsikia, or rather hatujamsikia. Allivuma sana enzi za Misa Tan na uhariri Gurdian na jukwaa la wahariri, sasa hatumsikii tena. Kipindi anasikika sana alikuwa na vyeo hapa na pale. Kadhalika alikuwa sambamba na kina Nevil Meena, Ayoub Riyoba na wengine. Bado tunawasikia hao ila huyu mama machachari hatumsikii tena. Tujulisheni alipo na anafanya nini. Harakati bado zinamhitaji