Yuko wapi Sakina Datoo?

Yuko wapi Sakina Datoo?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Ni kitambo sasa sijamsikia, or rather hatujamsikia.
Allivuma sana enzi za Misa Tan na uhariri Gurdian
na jukwaa la wahariri, sasa hatumsikii tena. Kipindi
anasikika sana alikuwa na vyeo hapa na pale.
Kadhalika alikuwa sambamba na kina Nevil Meena, Ayoub Riyoba na wengine. Bado tunawasikia hao
ila huyu mama machachari hatumsikii tena.
Tujulisheni alipo na anafanya nini. Harakati bado
zinamhitaji
 
Nasikia yuponje ya nchi na hapa alikimbia siasa za maji taka na ikumbukwe baada ya cheo chake kile cha jukwaa la wahariri alianza kuandamwasana na watu wasiojulikana....akashtuka mapemaaa!mana nani angependa kung'olewa jicho bila ganzi!
 
sasa kwa mantiki hiyo kila aliyeandamwa angekimbia leo bongo angebaki nani? May be she does not belong here
 
Back
Top Bottom