Ni kitambo sasa sijamsikia, or rather hatujamsikia.
Allivuma sana enzi za Misa Tan na uhariri Gurdian
na jukwaa la wahariri, sasa hatumsikii tena. Kipindi
anasikika sana alikuwa na vyeo hapa na pale.
Kadhalika alikuwa sambamba na kina Nevil Meena, Ayoub Riyoba na wengine. Bado tunawasikia hao
ila huyu mama machachari hatumsikii tena.
Tujulisheni alipo na anafanya nini. Harakati bado
zinamhitaji