Yuko wapi Sam Mahera?

Yuko DW Kiswahili. Kuna siku nilimuona kwa dakika chache sana
 
Sam kwa sasa anasikika BBC Swahili, ni kwa kipindi amekuwa akitia sauti kwenye makala mbali mbali.
 
Mara ya mwisho nilimuona TBC , kama hayupo hapo basi kapnda ngazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…