Yuko wapi siku hizi aliyekuwa meya wa manispaa ya ilala maarufu kama Jerry Slaa?

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
Jerry Slaa ni miongoni mwa vijana maarufu sana tanzania kutokana na mafanikio yake kisiasa,amekuwa role model wa wengi akiwemo mm.

jamaa tangu uchaguzi uishe amehadimika hata kwenye vyombo vya habr,mwenye taarifa zake kuhusu yuko wapi na anafanya nini,au ana mpango gani kisiasa anijuze basi.

nakaribisha maoni yenu wadau,
 
Siasa za bongo noma sana! alivyokua meya aliisahau sana ukonga, sasa kwy uchaguzi wakamkomesha!bila shaka yupo tu kwake mazizini ukonga anasubiria awamu nyingine
 
kumbe kwny siasa kuna mengi jerry m namwnaga mtu safi sana na makn nd maana namkubal sena naona amekosa watu wanaoendana naye
 
Mkuu umeenda kwake ukamkosa?
umenelewa vbaya kiongozi sijauliza kutaka kujua kama yupo kwake au hayupo ila nlitaka kujua anajihusisha na nini sa hivi make tayari yeye ni mtu anayetizamwa na jamii,
 
Slaa alijaribu wazi wazi kumuwekea vikwazo magufuli ikiwemo kushawishi wanachama wasijitokeze kumdhamini
Kwa kawaida ukisikia uliemuhujumu amekua Rais inabidi ukajifiche tu
 
Basic anywe juice yake aliyochagua
 
Jerry Slaa ni miongoni mwa vijana maarufu sana tanzania kutokana na mafanikio yake kisiasa,amekuwa role model wa wengi akiwemo mm.

jamaa tangu uchaguzi uishe amehadimika hata kwenye vyombo vya habr,mwenye taarifa zake kuhusu yuko wapi na anafanya nini,au ana mpango gani kisiasa anijuze basi.

nakaribisha maoni yenu wadau,
Kura hazikutosha,ajipange mwakani
 
Dogo alikua kiburi sana,alidiriki kumnyanyulia mdomo waziri wa ujenzi,kwa bahati mbaya au nzuri waziri ndiye rais wa sasa na yeye ndiye mwenye maamuzi ya nani agombee wapi nani abaki nyumbani.
Kiufupi ni kwamba do hatopata hata ukatibu tarafa mzee mkubwa atakapo toka madarani.
 
Huyo waziri wa ujenzi mkasema tena aliambiwa na Manji siongei na Mbwa naongea na mwenye mbwa.
Dogo alikua kiburi sana,alidiriki kumnyanyulia mdomo waziri wa ujenzi,kwa bahati mbaya au nzuri waziri ndiye rais wa sasa na yeye ndiye mwenye maamuzi ya nani agombee wapi nani abaki nyumbani.
Kiufupi ni kwamba do hatopata hata ukatibu tarafa mzee mkubwa atakapo toka madarani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom