enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Kweli maisha ni safari ndefu na hakuna aijuaye kesho, ndio maana njia nzuri kuitawala future ni kutenda mema!Yule mbunge wa Ukonga mama Mwaiposa walipomtoa kafara nao wakapata adhabu yao
Kwani huelewi wakisema siasa ni mchezo mchafu, hivi ulitegemea waziri mkuu mstaafu kuhojiwa kituo cha polisi?kumbe kwny siasa kuna mengi jerry m namwnaga mtu safi sana na makn nd maana namkubal sena naona amekosa watu wanaoendana naye
umenelewa vbaya kiongozi sijauliza kutaka kujua kama yupo kwake au hayupo ila nlitaka kujua anajihusisha na nini sa hivi make tayari yeye ni mtu anayetizamwa na jamii,Mkuu umeenda kwake ukamkosa?
dah htr,kwl siasa n ka bongo fleva kuna kpnd unaheat na pia kuna kpnd cha kukarishwaKwani huelewi wakisema siasa ni mchezo mchafu, hivi ulitegemea waziri mkuu mstaafu kuhojiwa kituo cha polisi?
King maker Mr Rostam Azizkumbe kwny siasa kuna mengi jerry m namwnaga mtu safi sana na makn nd maana namkubal sena naona amekosa watu wanaoendana naye
Basic anywe juice yake aliyochaguaSlaa alijaribu wazi wazi kumuwekea vikwazo magufuli ikiwemo kushawishi wanachama wasijitokeze kumdhamini
Kwa kawaida ukisikia uliemuhujumu amekua Rais inabidi ukajifiche tu
Alifanya jambo jema sana! Alimjua vema ndugu JiweSlaa alijaribu wazi wazi kumuwekea vikwazo magufuli ikiwemo kushawishi wanachama wasijitokeze kumdhamini
Kwa kawaida ukisikia uliemuhujumu amekua Rais inabidi ukajifiche tu
Kura hazikutosha,ajipange mwakaniJerry Slaa ni miongoni mwa vijana maarufu sana tanzania kutokana na mafanikio yake kisiasa,amekuwa role model wa wengi akiwemo mm.
jamaa tangu uchaguzi uishe amehadimika hata kwenye vyombo vya habr,mwenye taarifa zake kuhusu yuko wapi na anafanya nini,au ana mpango gani kisiasa anijuze basi.
nakaribisha maoni yenu wadau,
Linalopangwa na Mungu hakuna wa kuzuia
nyie wanawake wa dar mpoje
Dogo alikua kiburi sana,alidiriki kumnyanyulia mdomo waziri wa ujenzi,kwa bahati mbaya au nzuri waziri ndiye rais wa sasa na yeye ndiye mwenye maamuzi ya nani agombee wapi nani abaki nyumbani.
Kiufupi ni kwamba do hatopata hata ukatibu tarafa mzee mkubwa atakapo toka madarani.